Loading...
Search result for #usalamawanguwajibuwangu

@matwanaculture

matwanaculture
2 283 2 weeks ago

@bernardmwikola

bernardmwikola
Hapo ni kileee cha mbio za mwenye wa uhuru zilizofanyika jijini tanga sema mm kuna kitu huwa nashindwa kukielewa hapa viongozi wamekuja kwenye sherehe but maaskari na mabunduki cjui munawaita usalama wamejaaa kila kona yaani unadhani tuko vitani kumbe ni shereheee ona sasa hata huyo kijana anashindwa hata kusoma hebu tubadilike bhanaaa mm cpingi swala la ulinzi ila hawa viongozi wanalidwajeee?? #changemind
#changetanzania
#ndahanimwenda
#tukutanekileleni
#tukutanekazini
#tanzaniampya
#usalamawanguwajibuwangu
#tanga
6 14 4 weeks ago

@matwanaculture

matwanaculture
0 314 August 2018

@matwanaculture

matwanaculture
Driving under the influence affects more people than just the person behind the wheel. d***k driving kills and ruins lives! #mysafetymyresponsibility #usalamawanguwajibuwangu #dontdrinkanddrive
0 350 July 2018

@malezi_na_mahusiano

malezi_na_mahusiano
Sababu zipo nyingi na tofauti za watu kujiua na kujishambulia wao wenyewe, ktk mtazamo wa kisaikolojia swala hili lina vyanzo vingi kwa uchache ..... maumivu ya muda mrefu bila ya kupata msaada huwa n chanzo kikubwa.

mtu akioneshwa kukataliwa au kupuuzwa kwa muda huondoa uoga wa kumdhulu mwingine au kujidhulu yy mwenyewe.
hapo ndipo huangalia urahisi wa yupi wa kumfikia na kumshambulia ndipo hujikuta wengi wao wakijishambulia.
maradhi ya muda mrefu huwasukuma watu kujikatia tamaa na kuona ni kheri kupata mapumziko.

na zaidi msongo wa mawazo ni hali inayopelekea matukio hayo kwa wingi wake.

unafikiri kwanini mtu akiokolewa huwa hawezi rudia kujishambulia kwa asilimia nyingi japo wapo wanaorudia?

jibu mojawapo watu hawa hutafuta umakini wa watu wengine dhidi yao na kwa muda huo huwa kuna asilimia za kupatikana kujaliwa huko

#psychologist
#mahusiano #dahuu #psychologistinthemaking #ushauri #saikolojiatanzania #care #savetheworld #plantanzania #usalamawanguwajibuwangu
1 15 July 2018

@taxify.tz

taxify.tz
Usalama wako kwanza.
safiri salama na madereva wetu wenye uzoefu.
#safirisalama #safari #taxifymwanza #usalamawanguwajibuwangu #usalama
0 55 July 2018

@mwanawamakonda

mwanawamakonda
Kwa ufahamu tu hapa... wanamakosa mangapi ya kuvunja sheria ya usalama barabarani.?? @rsa_tanzania #mwanawamakonda #ngara #kagera #usalamawanguwajibuwangu
2 26 June 2018

@chizcom_tanzania

chizcom_tanzania
1 10 May 2018

@taxify.tz

taxify.tz
Hichi ni cha kwanza, daima kuvaa mkanda wako wa kiti mara moja unapoingia kwenye safari yako. baki salama
#taxifytz #taxifyindar #ridewithtaxifydar #safarinataxify #endeshanataxify #drivewithtaxify #usalamawanguwajibuwangu #daressalaam #tanzania
0 55 April 2018

@taxify.tz

taxify.tz
Komboa wakati kwa kusafiri na taxify ndani ya jiji la dar es salaam. tembelea bio yetu kupakua app yako
#taxifytz #taxifyindar #endeshanataxify #safarinataxify #ridewithtaxifydar #usalamabarabarani #taxifybajaji #muda #usalamawanguwajibuwangu
2 80 April 2018

@jahazi_la_lugha_ya_kiswahili

jahazi_la_lugha_ya_kiswahili
@michuzijr - madereva wa boda boda acheni utani na abiria wenu,usalama kwanza barabarani ni muhimu sana @policetanzania #usalamawanguwajibuwangu #usalamakwanza @rsa_tanzania
0 15 March 2018

@michuzijr

michuzijr
Madereva wa boda boda acheni utani na abiria wenu,usalama kwanza barabarani ni muhimu sana @policetanzania #usalamawanguwajibuwangu #usalamakwanza @rsa_tanzania
8 464 March 2018

@macautoaccessories

macautoaccessories
Sony radio available in @macautoaccessories kwa bei ya tshs 250,000 pamoja na warranty ya mwaka mzima

call us 0715000890

#satisfactionguaranteed✔️💯 #usalamawanguwajibuwangu
0 9 February 2018

@macautoaccessories

macautoaccessories
Kuibiwa ni hasara sana epuka shida hizo njoo @macautoaccessories
call us 0715000890/0622120111

#usalamawanguwajibuwangu
#satisfactionguaranteed✔️💯
0 3 February 2018

@matwanaculture

matwanaculture
🍹 don't drink & drive! 🚘 panda nganya 🚌 ikufikishe kejani!
#mysafetymyresponsibility
#usalamawanguwajibuwangu
0 203 February 2018

@matwanaculture

matwanaculture
🍹 don't drink & drive! 🚘 panda nganya 🚌 ikufikishe kejani!
#mysafetymyresponsibility
#usalamawanguwajibuwangu
0 144 February 2018